Kwa nini waajiri wanapenda experience?
Na freshers tunakaaa wapi kwenye hii system?
Upenyo uko wapi ambao tunaoweza utumia kusurvive kwenye ulimwengu wa “tunahitaji wenye experience”?
Na je kuna chochote unachoweza kufanya ukiwa bado upo chuoni ili kupambana na hii system?
Majibu ya haya maswali unaweza kuyapata kama ukimwangalia mwajiri kama mfanyabiashara.
Kuelewa hili tazama video hii.
#moreExposure #buildUpSkills #TryOutThings